MetaTrader WebTerminal

Fanya trade kwenye majukwaa yanayoongoza duniani moja kwa moja kutoka kwa kivinjari chako - hakuna vipakuliwa.

Huhitaji kupakua, wala kusakinisha

MetaTrader WebTerminal hukuruhusu kufanya trade ya masoko ya fedha bila kusakinisha programu zozote za ziada. Unaweza kufanya trade kupitia kivinjari kwenye mfumo wowote wa uendeshaji wenye utendakazi mwingi sawa na toleo la kompyuta ya mezani.

Kila alama katika sehemu moja

MetaTrader WebTerminal hukuwezesha kufikia kila mojawapo ya instrument inayotolewa na Exness. Kutoka kwenye Market Watch ya MetaTrader, unaweza kufuatilia bei kwa wakati halisi, spreads na zaidi kwa kila CFD inayopatikana. Badili kati ya chati kwa mbofyo mmoja na ufungue mpya papo hapo wakati wowote unapotaka.

Uchanganuzi wa kina

MetaTrader ni jukwaa linalotumiwa na traders wakubwa kwa sababu ina indicators zaidi ya 40 zilizojengewa ndani, zinazoweza kubinafsishwa kukufaa na kalenda ya kiuchumi. Takriban kipengele chochote cha chati kinaweza kurekebishwa upendavyo, na michanganyiko ya indicators ina uwezekano wa kutokuwa na mwisho.

Maelezo ya jukwaa

MetaTrader 4 WebTerminal
MetaTrader 5 WebTerminal

Inapatikana kwenye

Windows, Linux, macOS, iOS, Android

Windows, Linux, macOS, iOS, Android

Aina za Akaunti

Akaunti zote za MT4

Akaunti zote za MT5

Aina za chati

Candle, bar, line

Candle, bar, line

Orders zinazosubiri

Buy limit, buy stop, sell limit, sell stop, take profit, stop loss

Buy limit, buy stop, sell limit, sell stop, buy stop limit, sell stop limit, take profit, stop loss

Je, kwa nini utumie Exness

Tunaamini katika biashara ya haki na kujitahidi kutoa hali bora kuliko za soko kwa traders wote.

Kutoa pesa papo hapo

Endelea kudhibiti funds zako. Chagua tu njia ya malipo unayopendelea, tuma ombi la utoaji fedha na ufurahie idhini ya kiotomatiki ya moja kwa moja.¹

Execution ya kasi zaidi

Kaa mbele ya trends kwa execution ya kasi ya juu ya maombi ya biashara. Pata orders zako zitekelezwe katika milisekunde kwenye mifumo yote inayopatikana katika Exness.

Ulinzi Dhidi ya Stop Out

Furahia kipengele chetu cha kipekee cha Ulinzi dhidi ya Stop Out, chelewesha na wakati mwingine uepuke stopouts kabisa unapofanya trade katika Exness.

Chunguza MetaTrader Webterminal

Fanya trade kwenye majukwaa yanayoongoza duniani moja kwa moja kutoka kwa kivinjari chako - hakuna vipakuliwa.