Biashara ya Forex

Fikia zaidi ya jozi 100 za fedha za kigeni na uweze kuingia kwenye soko kubwa zaidi la kifedha duniani.

Akaunti

Aina ya utekelezaji

Soko

Ishara
Spread wastani
pips
Ada
kwa kila lot/upande
Margin
1:2000
Long swap
pips
Short swap
pips
Stop level*
pips

Saa za biashara ya forex

Saa za biashara ya forex ni kuanzia Jumapili 21:05 hadi Ijumaa 20:59, hata hivyo, jozi za sarafu zilizoorodheshwa hapa chini zina saa tofauti za biashara:

InstrumentFunguaFunga
USDCNH, USDTHB
Jumapili
23:05
Ijumaa
20:59
Mapumziko ya kila siku -
USDILS, GBPILS
Jumatatu
05:00
Ijumaa
15:00
Mapumziko ya kila siku 15:00-05:00
Muda wote uko katika wakati wa seva (GMT+0).

Spreads

Spreads huelea kila wakati. Kwa sababu hii, spreads katika jedwali lililo hapo juu ni wastani kulingana na siku ya biashara iliyotangulia. Kwa spreads za moja kwa moja, tafadhali rejelea jukwaa la biashara.

Tafadhali kumbuka kuwa spreads zinaweza kupanuka wakati soko linapata liquidity ya chini, ikiwa ni pamoja na muda wa mauzo. Hii inaweza kuendelea hadi viwango vya liquidity vitakaporejeshwa.

Spreads zetu za chini kwenye akaunti ya Zero na hubaki kwa pip 0.0 kwa 95% ya siku ya biashara. Instruments hizi zimewekwa alama ya kinyota kwenye jedwali.

Swaps

Swap ni riba ambayo imewekwa kwa positions zote za biashara ya forex na ambazo huwachwa wazi usiku. Viwango vya swaps hutofautiana kutoka jozi moja hadi nyingine.

Wakati kiwango cha swap ni hasi, inamaanisha kuwa swap hukatwa kutoka kwa position. Hata hivyo, kunapokuwa na takwimu chanya kwa kiwango cha swap, kiasi hicho huwekwa. Swaps hutekelezwa saa 21:00 GMT+0 kila siku, bila kujumuisha wikendi, hadi position hio ifungwe.

Tafadhali kumbuka kuwa wakati wa kufanya biashara ya jozi za forex, swaps tatu za ubadilishaji fedha hutozwa siku ya Jumatano ili kufidia gharama za malipo za mwishoni mwa wiki.

Hatutozi swaps kwa instruments zilizowekwa kwenye jedwali hapo juu ikiwa una hali ya extended swap-free.

Ikiwa wewe ni mkazi wa nchi ya Kiislamu, akaunti zote ni swap-free.

Stop level

Tafadhali kumbuka kuwa thamani za stop level kwenye jedwali lililo hapo juu zinaweza kubadilika na huenda zisipatikane kwa traders wanaotumia mikakati fulani ya biashara ya kiwango cha juu au Expert Advisors.

Masharti ya margin yasiyobadilika

Masharti ya margin kwa jozi za sarafu nadra daima hayabadiliki, bila kujali kiwango cha leverage unachotumia. Margin za intruments hushikiliwa kwa mujibu wa masharti ya margin ya intrument na haziathiriwi na leverage kwenye akaunti yako.

Masharti ya margin yanayobadilika

Masharti ya margin ya akaunti yako yanalingana na kiasi cha leverage unachotumia. Kubadilisha leverage kutasababisha masharti ya margin kubadilika.

Jinsi spreads zinavyobadilika kulingana na hali za soko, kiwango cha leverage unachoweza kupata kinaweza pia kutofautiana. Hii inaweza kutokea kwa sababu kadhaa zilizoelezewa hapa chini.

Equity

Leverage ya juu zaidi hubadilika kulingana na equity ya akaunti yako:

Equity, USDKiwango cha juu zaidi cha leverage
0 – 9991:Bila kikomo
0 – 4,9991:2000
5,000 – 29,9991:1000
30,000 au zaidi1:500

Leverage ya juu zaidi hubadilika kulingana na equity ya akaunti yako:

Equity, USDKiwango cha juu zaidi cha leverage
0 – 9991:Bila kikomo
0 – 4,9991:2000
5,000 – 29,9991:1000
30,000 au zaidi1:500
Habari za kiuchumi

Kuanzia dakika 15 kabla ya kuchapishwa kwa habari muhimu za kiuchumi hadi dakika 5 baada ya kuchapishwa, masharti ya margin ya positions mpya zinazofunguliwa kwenye instruments za forex zilizoathiriwa hukokotolewa kwa kiwango cha leverage cha 1:200.

Unaweza kujua wakati habari muhimu za kiuchumi zinastahili kutolewa kwenye Kalenda yetu ya kiuchumi.

Kuanzia dakika 15 kabla ya kuchapishwa kwa habari muhimu za kiuchumi hadi dakika 5 baada ya kuchapishwa, masharti ya margin ya positions mpya zinazofunguliwa kwenye instruments za forex zilizoathiriwa hukokotolewa kwa kiwango cha leverage cha 1:200.

Unaweza kujua wakati habari muhimu za kiuchumi zinastahili kutolewa kwenye Kalenda yetu ya kiuchumi.

Wikendi na sikukuu

Sheria ya ongezeko la margin pia inatumika kwa biashara zote za forex zinazofanyika wikendi. Instruments zote katika kipindi hiki zinategemea kiwango cha juu zaidi cha leverage cha 1:200. Sikukuu huwa na utofauti kidogo kwani ni instruments na masoko fulani pekee ndiyo yanayoweza kuathiriwa na sheria hii. Kukiwa mabadiliko katika masharti ya margin kutokana na likizo, tutakujulisha kupitia barua pepe.

Unaweza kupata maelezo zaidi kuhusu mabadiliko ya masharti ya margin katika sehemu ya Maswali Yanayoulizwa Sana hapa chini.

Sheria ya ongezeko la margin pia inatumika kwa biashara zote za forex zinazofanyika wikendi. Instruments zote katika kipindi hiki zinategemea kiwango cha juu zaidi cha leverage cha 1:200. Sikukuu huwa na utofauti kidogo kwani ni instruments na masoko fulani pekee ndiyo yanayoweza kuathiriwa na sheria hii. Kukiwa mabadiliko katika masharti ya margin kutokana na likizo, tutakujulisha kupitia barua pepe.

Unaweza kupata maelezo zaidi kuhusu mabadiliko ya masharti ya margin katika sehemu ya Maswali Yanayoulizwa Sana hapa chini.

Maswali yanayoulizwa sana

Haya hapa ni maswali yetu yanayoulizwa sana kuhusu kufanya biashara ya forex ukitumia Exness.

Kama vile spread zetu, masharti yetu ya margin pia yanabadilika na yanaweza kubadilika chini ya hali fulani. Hasa, hii inaweza kutokea:

  • Muda mfupi kabla na baada ya kutolewa kwa habari muhimu

  • Kabla na baada ya wikendi na sikukuu

Wakati habari muhimu zinatolewa, kubadilikabadilika ghafla na gaps zinaweza kuwepo. Kutumia kiwango cha juu cha leverage katika soko linalobadilikabadilika ghafla ni hatari kwa sababu mabadiliko ya ghafla yanaweza kusababisha hasara kubwa. Ndiyo maana tunaweka kikomo cha leverage cha 1:200 wakati wa kutolewa kwa habari kwa positions zote mipya za instruments zilizoathiriwa.

Katika hali ambapo vipindi hivi vya ongezeko la masharti ya margin kwa matoleo tofauti ya habari vimetengana kwa chini ya dakika 15, vipindi hivi vinaweza kuunganishwa na kuwa kipindi kimoja kirefu kwa instruments zinazohusika. Utapokea barua pepe kutoka kwetu kukupa maelezo kamili ya mabadiliko ya masharti ya margin kwenye jukwaa lako la biashara.

Wakati muda uliowekwa umepita, margin ya positions wazi wakati wa kipindi hicho hukokotolewa upya kulingana na kiasi cha funds kwenye akaunti na thamani iliyochaguliwa ya kiwango cha leverage.

Kufunga hedged order katika kipindi cha ongezeko la masharti ya margin kutasababisha unhedged position inayochukuliwa kama position mpya iliyofunguliwa. Kwa hivyo, margin za position hii hukokotolewa kulingana na masharti yaliyoongezewa ya margin na husambazwa sawia kati ya transactions wazi zinazohusisha hedging financial instrument.

Masharti ya margin ya ufunguzi wa positions mpya yatakokotolewa kwa kiwango cha juu zaidi cha leverage cha 1:200 kuanzia Ijumaa saa 18:00 GMT (saa tatu kabla ya soko la forex kufungwa) hadi Jumapili saa 22:00 GMT (saa moja baada ya soko kufunguliwa).

Kwa saa moja baada ya soko kufunguliwa, positions zako zitasalia katika mahitaji ya margin yaliyoongezeka.

Saa moja baada ya soko kufunguliwa, margin ya positions zilizofunguliwa katika kipindi cha mahitaji ya margin yaliyoongezeka hukokotolewa upya kulingana na kiasi cha funds katika akaunti yako na leverage ulioweka.

Sheria zifuatazo hutumika katika suala la kuweka viwango vya pending orders:

  • Pending orders pamoja na SL na TP (kwa pending orders) sharti yawekwe kwa umbali (angalau sawa na spread ya sasa au zaidi) kutoka kwa bei ya sasa ya soko.

  • SL na TP katika pending orders lazima ziwekwe angalau umbali sawa kutoka kwa bei ya order kama spread ya sasa.

  • Kwa positions wazi, SL na TP lazima ziwekwe kwa umbali kutoka kwa bei ya sasa ya soko ambayo ni angalau sawa na ile ya spread ya sasa.

Katika Exness, tunajua jinsi unahisi wakati pending order yako iko kwenye gap ya bei, kwa hivyo ni haki tunapokuhakikishia kuwa hakuna slippage kwa takriban pending orders zitakazotekelezwa angalau saa 3 baada ya biashara kufunguliwa kwa instrument. Hata hivyo, ikiwa order yako inakidhi mojawapo ya vigezo vifuatavyo, itatekelezwa katika quote ya kwanza ya soko inayofuata gap:

  • Ikiwa pending order itatekelezwa katika hali ya soko ambayo si ya kawaida, kama vile wakati wa ukwasi wa chini cha bei au kubadilikabadilika ghafla kwa hali ya juu.

  • Ikiwa pending order yako iko katika gap lakini tofauti ya pip kati ya quote ya kwanza ya soko (baada ya gap) na bei iliyoombwa ya order ni sawa na au kuzidi idadi fulani ya pips (thamani ya kiwango cha gap) kwa instrument fulani.

Udhibiti wa kiwango cha gap hutumika kwa instruments mahususi za biashara.

Biashara ya swap-free inatolewa kwa: AUDNZD, AUDUSD, EURCHF, EURUSD, GBPJPY, GBPUSD, NZDUSD, USDCAD, USDCHF, USDJPY, AUDCHF, AUDJPY, EURAUD, EURCAD, EURGBP, EURJPY, EURNZD, GBPCHF, GBPNZD, NZDJPY na NZDCAD.

Kwa instruments ambazo hazijajumuishwa katika orodha ya extended swap-free, swaps hutozwa ada kila siku isipokuwa wikendi. Kwa maelezo zaidi kuhusu jinsi swaps zinavyokokotolewa, angalia makala yetu ya Kituo cha Usaidizi. Ili kukusaidia kukadiria gharama zako za swap, unaweza kutumia kikokotoo chetu rahisi cha Exness.

Fanya biashara ya forex

Tumia soko kubwa zaidi la kifedha duniani