Programu ya Exness Trade

Fanya trade kwa ujasiri wakati wowote, mahali popote kwenye programu ya biashara ya kifaa cha mkononi inayokupa ufikiaji wa masoko ya kifedha ya kimataifa, bila matatizo.

Boresha uzoefu wako wa biashara ya kifaa cha mkononi

Programu ya Exness Trade imeundwa kwa ufikiaji rahisi wa masoko ya kifedha. Kwa jukwaa letu ambalo ni rahisi kwa watumiaji kutumia, ada za chini na options nyingi za biashara, tumejitolea kukuwezesha kutrade kwa ujasiri.

Pakua programu yetu leo ​​na ugundue vipengele vingi vya ubunifu na masharti bora kuliko ya soko.

Zana za biashara

Uwekaji chati wa hali ya juu

Nufaika na zana za hali ya juu za uwekaji chati ikiwa ni pamoja na indicators maarufu.

Arifa za bei

Weka mipangilio ya arifa za programu ili kujulishwa wakati bidhaa inafikia kiwango fulani.

Kikokotoo cha biashara cha ndani ya programu

Kukokotoa margins, spreads na swaps haraka na kwa ufanisi ndani ya programu.³

Arifa za maombi ya biashara

Dhibiti biashara yako na uendelee kufahamishwa kuhusu hali ya positions zako.

Muhtasari wa kina wa order

Kagua historia yako ya biashara kwa muhtasari wa kina wa kila order ya awali.

Orodhesha favorites, tazama top movers

Weka alama kwenye instruments unazopendelea na utazame zile zilizo na mabadiliko makubwa ya bei.

Rasilimali za uchanganuzi

Unda portfolio yako kwa ujasiri ukiwa na uchanganuzi wetu wa kisasa wa soko na nyenzo zingine.

Ishara za Trading Central

Panga mikakati ya maombi ya biashara ukitumia ishara zinazojumuisha mbinu mbalimbali za uchanganuzi.

Kalenda ya kiuchumi

Fuatilia habari zenye athari kubwa, matukio muhimu ya kiuchumi na matoleo ya data.

Habari za soko za FXStreet

Pata habari za wakati halisi za soko na sasisho mpya zaidi.

Udhibiti wa akaunti

Dhibiti akaunti yako na upate usaidizi unaohitaji kwa mibofyo michache tu.

Dhibiti mipangilio ya akaunti yako

Sajili, fungua na udhibiti akaunti zako ndani ya programu kwa mibofyo michache tu.

Weka na utoe pesa

Furahia kuweka na kutoa pesa bila usumbufu ukiwa na options mbalimbali za malipo.

Pata usaidizi kutoka kwa live chat ndani ya programu

Fikia usaidizi wetu wa 24/7 wa ndani ya programu unaopatikana katika lugha nyingi kupitia live chat kwa maombi ya biashara.

Je, kwa nini utumie Exness

Masharti bora kuliko ya soko, vipengele vya kipekee na usalama wa kiwango cha juu, pamoja na kujitolea kwetu kwa uwazi na huduma bora kwa mteja, ndizo sababu zinazofanya traders waendelee kuchagua Exness.

Kutoa pesa papo hapo

Endelea kudhibiti funds zako. Chagua tu njia ya malipo unayopendelea, tuma ombi la utoaji fedha na ufurahie idhini ya kiotomatiki ya moja kwa moja.¹

Execution ya kasi zaidi

Kaa mbele ya trends kwa execution ya kasi ya juu ya maombi ya biashara. Pata orders zako zitekelezwe katika milisekunde kwenye mifumo yote inayopatikana katika Exness.

Ulinzi Dhidi ya Stop Out

Furahia kipengele chetu cha kipekee cha Ulinzi dhidi ya Stop Out, chelewesha na wakati mwingine uepuke stopouts kabisa unapofanya trade katika Exness.

Maswali yanayoulizwa sana

Ukiwa na Exness Trade, unaweza kufikia kituo maalum cha biashara kilichoundwa kwa ajili ya akaunti za kutrade za MT5. Vipengele muhimu ni pamoja na kufungua, kufunga, na kurekebisha orders, pamoja na kufuta pending orders. Exness Trade inatoa vipengele muhimu vya kudhibiti akaunti za kutrade, instruments za biashara, chati zilizo na indicators, na ufikiaji wa haraka wa historia ya order na arifa kwa maombi ya biashara.

Ili kudhibiti Eneo lako la Binafsi katika Exness Trade, vichupo mbalimbali vilivyo ndani ya programu ya biashara vinaweza kutumika. Kichupo cha "Akaunti" hukuruhusu kufikia Eneo lako la Binafsi, kutazama free margin, historia ya order na maelezo ya akaunti. Unaweza kudhibiti akaunti zilizopo za kutrade na kufungua mpya, pamoja na kuweka na kutoa pesa kwa kutumia akaunti zako za kutrade.

Biashara ya ndani ya programu inapatikana kwa akaunti za MT5 pekee. Ikiwa umeingia kwenye akaunti ya MT4, utaelekezwa upya ili kupakua programu ya kifaa cha mkononi ya MT4 kwenye simu yako.

Programu ya Exness Trade inaweza kutumika kikamilifu kwa akaunti za MT5 zilizowekewa mipangilio kupitia akaunti ya kutrade ya Exness pekee. Wamiliki wa akaunti ya MT4 hawawezi kuunganisha kwenye programu ya Exness Trade kwa kutumia akaunti yao ya MT4; badala yake, huelekezwa upya ili kupakua programu ya kifaa cha mkononi ya MT4 kwa mahitaji yao ya kibiashara.

Programu ya Exness Trade hurahisisha mchakato wa kudhibiti akaunti yako ya kutrade kwa kukuruhusu kuweka na kutoa funds moja kwa moja kwa kutumia programu ya simu. Ukiwa na kiolesura ambacho ni rahisi kwa mtumiaji kutumia, unaweza kuchagua kutoka kwa njia nyingi za malipo zinazokufaa zaidi. Programu hii hukuongoza hatua kwa hatua katika mchakato wa kuweka au kutoa pesa, kuanzia kwa kuchagua njia ya malipo na sarafu unayopendelea hadi kuweka kiasi na kuthibitisha transaction hiyo. Zaidi ya hayo, programu hii hutoa taarifa muhimu kama vile vikomo vya kiasi cha pesa unachoweza kuweka na muda unaotarajiwa wa uchakataji, kuhakikisha uwazi na kusaidia katika upangaji bora wa kifedha. Zaidi ya hayo, vipengele vya usalama vya programu hii vinahitaji uthibitishaji wa transactions, hivyo kuwapa watumiaji amani ya kiakili kuwa funds zao ziko salama. Unafaa kukumbuka kuwa ingawa programu ya Exness inalenga kurahisisha transactions, ni muhimu kutii sera ya kampuni ya kutumia njia sawa kwa uwekaji na utoaji pesa ili kuepuka kukataliwa kwa transaction.

Programu yetu ya Exness Trade inapatikana katika nchi nyingi ambako tunakubali usajili. Ikiwa huoni vitufe vya kupakua kwenye ukurasa huu, inamaanisha kuwa programu hii haipatikani kwa sasa kwenye maduka ya programu katika nchi yako. Tunapofanya kazi kuongeza maeneo na maduka ya programu kama vile Google Play na App Store ambako programu ya Exness Trade inapatikana, bado unaweza kufanya trade katika Exness popote ulipo kwa kupakua programu za kifaa cha mkononi za MetaTrader 4 au MetaTrader 5.

Pakua Programu ya Exness Trade

Pata udhibiti wa trades zako popote ulipo.