Biashara ya Indices

Chagua kutoka kwa fahirisi maarufu zaidi ulimwenguni, ikiwa ni pamoja na FTSE 100, S&P 500, Dow Jones Industrial Average na zingine nyingi.

Akaunti

Aina ya utekelezaji

Soko

Ishara
Spread wastani
pips
Ada
kwa kila lot/upande
Margin
Mgao kwa ununuzi
kwa kila lot
Mgao kwa uuzaji
kwa kila lot
Stop level*
pips

Saa za kufanya biashara

InstrumentFunguaFunga
AUS200
Jumapili
22:50
Ijumaa
20:00
Mapumziko ya kila siku 6:30-7:10, 20:00-22:50
US30, FR40, DE30, USTEC, US500, STOXX50, UK100
Jumapili
22:30
Ijumaa
20:00
Mapumziko ya kila siku 20:00-22:30
IN50
Jumapili
22:30
Ijumaa
20:00
Mapumziko ya kila siku 10:10-10:40, 20:30-01:00
JP225
Jumapili
23:00
Ijumaa
20:00
Mapumziko ya kila siku 20:00-23:00
HK50
Jumapili
23:00
Ijumaa
20:00
Mapumziko ya kila siku 00:45-01:15, 20:00-23:00
Muda wote uko katika wakati wa seva (GMT+0).

Spreads

Spreads huelea kila wakati, kwa hivyo spreads kwenye jedwali hapo juu ni wastani wa jana. Kwa spreads za moja kwa moja, tafadhali rejelea jukwaa lako la biashara.

Migao

Kiasi cha mgao kinaweza kusasishwa kila siku. Angalia migao ijayo na usome taarifa muhimu zaidi kuhusu migao katika Kituo chetu cha Usaidizi.

Swaps

Indices zote ni swap-free. Hata hivyo, marekebisho ya mgao huchakatwa kwa kutumia utaratibu wa swaps, na yataonekana kwenye terminali ya biashara kama swaps.

Wanunuzi watapokea swap, ilhali wauzaji watatozwa swap.

Stop level

Tafadhali kumbuka kuwa thamani za stop level kwenye jedwali lililo hapo juu zinaweza kubadilika na huenda zisipatikane kwa traders wanaotumia mikakati fulani ya biashara ya kiwango cha juu au Expert Advisors.

Fixed margin

Wakati wa kufanya biashara ya fahirisi, kiwango cha leverage hubainishwa kuwa 1:400 kwa US30, US500 na USTEC, na 1:200 kwa fahirisi zingine, isipokuwa katika hali zifuatazo:

Mapumziko ya kila siku

Masharti ya kiwango cha juu cha margin kwa fahirisi ya kila siku hutegemea fahirisi mahususi. Unaweza kupata orodha ya masharti yote ya juu ya margin kwa fahirisi hapa.

Masharti ya kiwango cha juu cha margin kwa fahirisi ya kila siku hutegemea fahirisi mahususi. Unaweza kupata orodha ya masharti yote ya juu ya margin kwa fahirisi hapa.

Maswali yanayoulizwa sana

Haya hapa ni maswali yetu yanayoulizwa sana kuhusu kufanya biashara ya fahirisi na Exness.

Tulianzisha vipindi vya ongezeko la margin na kupunguza kiwango cha leverage ili kukulinda kutokana na uwezekano wa kuchukua hatua mbaya za bei kutokana na kuongezeka kwa kubadilikabadilika ghafla kwa soko katika biashara ya fahirisi. Pia tuliongeza vipindi vyetu vya biashara ya fahirisi, ili kukupa fursa bora zaidi ya kufanya biashara ukitumia masharti ya kawaida ya margin.

Sheria zifuatazo hutumika katika suala la kuweka viwango vya pending orders:

  • Pending orders pamoja na SL na TP (kwa pending orders) sharti yawekwe kwa umbali (angalau sawa na spread ya sasa au zaidi) kutoka kwa bei ya sasa ya soko.

  • SL na TP katika pending orders lazima ziwekwe angalau umbali sawa kutoka kwa bei ya order kama spread ya sasa.

  • Kwa positions wazi, SL na TP lazima ziwekwe kwa umbali kutoka kwa bei ya sasa ya soko ambayo ni angalau sawa na ile ya spread ya sasa.

Katika Exness, tunajua jinsi unahisi wakati pending order yako iko kwenye gap ya bei, kwa hivyo ni haki tunapokuhakikishia kuwa hakuna slippage kwa takriban pending orders zitakazotekelezwa angalau saa 3 baada ya biashara kufunguliwa kwa instrument. Hata hivyo, ikiwa order yako inakidhi mojawapo ya vigezo vifuatavyo, itatekelezwa katika quote ya kwanza ya soko inayofuata gap:

  • Ikiwa pending order itatekelezwa katika hali ya soko ambayo si ya kawaida, kama vile wakati wa ukwasi wa chini cha bei au kubadilikabadilika ghafla kwa hali ya juu.

  • Ikiwa pending order yako iko katika gap lakini tofauti ya pip kati ya quote ya kwanza ya soko (baada ya gap) na bei iliyoombwa ya order ni sawa na au kuzidi idadi fulani ya pips (thamani ya kiwango cha gap) kwa instrument fulani.

Udhibiti wa kiwango cha gap hutumika kwa instruments mahususi za biashara.

Anza kufanya biashara ya fahirisi leo

Inachukua dakika 3 pekee kuweka mipangilio ya akaunti yako na kuwa tayari kufanya biashara