Vifaa vya uchanganuzi

Tunakupa ufikiaji wa zana kuu za biashara za uchanganuzi wa kimsingi na wa kiufundi ili uweze kupanga trades zako kwa ujasiri.

Kalenda ya kiuchumi

Fuatilia habari zenye athari kubwa, matukio ya kiuchumi yaliyo sokoni na matoleo ya data ukitumia Kalenda yetu ya Kiuchumi.

Ipate kwenye tovuti yetu au programu ya Exness Trade.

Ishara za kutrade kulingana na Trading Central

Tumia ishara za Trading Central ili kukuza mikakati yako na kupanga trades zako. Ishara zinajumuisha mbinu mbalimbali za uchanganuzi, kutoa zana muhimu kwa traders chini ya hali zote na muda wa soko.

Inapatikana katika Eneo lako la Binafsi au programu ya Exness Trade.

Habari za soko na FXStreet

Endelea kupata mpasho halisi wa habari za soko na taarifa mpya kutoka kwa timu katika FXStreet News.

Inapatikana katika Eneo lako la Binafsi au programu ya Exness Trade.

Maswali yanayoulizwa sana

Zana za uchanganuzi katika biashara ya CFD zinaweza kuainishwa kama zana za biashara za uchanganuzi wa kimsingi au uchanganuzi wa kiufundi.

Uchanganuzi wa kimsingi husaidia traders kubashiri mienendo ya bei kulingana na viendeshaji vya kiuchumi, kisiasa na vingine husika. Kwa upande mwingine, uchanganuzi wa kiufundi hubashiri mienendo ya bei na mwelekeo wa soko kwa kusoma chati za hatua za soko za awali.

Zana za msingi za uchanganuzi zinazopatikana kwa traders wa Exness ni Kalenda ya Kiuchumi, FXStreet News na Trading Central WebTV. Kwa zana za uchanganuzi wa kiufundi, Exness inatoa ishara kutokana na Trading Central na Indicator ya Uchanganuzi wa Kiufundi ya TC.

Traders wengi hutumia muunganisho wa zana za uchanganuzi wa kimsingi na wa kiufundi kubashiri mienendo ya bei ya jozi za sarafu na instruments nyingine. Exness hukupa ufikiaji wa zana bora za biashara ili uweze kupanga trades zako kwa ujasiri.

Zana za uchanganuzi tunazotoa ni pamoja na Kalenda ya Kiuchumi, Trading Central WebTV na FXStreet News, unazoweza kutumia bila malipo na hufikiwa kwa urahisi.

Huku zikipatikana kwenye Eneo lako la Binafsi na katika programu ya Exness Trade, unaweza kutumia ishara za biashara bila malipo kutoka Trading Central kupanga mikakati na trades zako.

Ishara zinajumuisha mbinu mbalimbali za uchanganuzi na zinaweza kukupa maarifa kuhusu trends zinazotarajiwa. Zinachukuliwa kuwa zana muhimu za traders wanaoanza na wenye uzoefu.

Boresha jinsi unafanya biashara

Jionee mwenyewe kwa nini Exness ndiye broker anayefaa zaidi kwa traders zaidi ya 700,000 na washirika 64,000.