Akaunti za Biashara: Standard

Akaunti zenye vipengele vingi, zisizotozwa ada zinazokidhi mahitaji ya wafanyabiashara wa kisasa. Jisajili na ufurahie manufaa ya akaunti yetu maarufu zaidi.

Standard

Akaunti yetu maarufu zaidi, inafaa kwa wafanyabiashara wote.


Kiwango cha chini cha amana

Spread³

Kuanzia pips 0.2

Ada

Hakuna ada

Kiwango cha juu cha leverage

1:Bila kikomo

Instruments

Forex, metali, crypto, nishati, hisa, fahirisi

Ukubwa wa chini zaidi wa lot

0.01

Ukubwa wa juu zaidi wa lot

200 (7:00 - 20:59 GMT+0), 60 (21:00 - 6:59 GMT+0)

Idadi ya juu zaidi ya positions

Bila kikomo

Hedged margin

0%

Margin call

60%

Stop out

0%

Utekelezaji wa order

Soko

Swap-free

Inapatikana

Standard

Kiwango cha chini cha amana

Spread³

Kuanzia pips 0.2

Ada

Hakuna ada

Kiwango cha juu cha leverage

1:Bila kikomo

Instruments

Forex, metali, crypto, nishati, hisa, fahirisi

Ukubwa wa chini zaidi wa lot

0.01

Ukubwa wa juu zaidi wa lot

200 (7:00 - 20:59 GMT+0), 60 (21:00 - 6:59 GMT+0)

Idadi ya juu zaidi ya positions

Bila kikomo

Hedged margin

0%

Margin call

60%

Stop out

0% (angalia maelezo kuhusu hisa)

Utekelezaji wa order

Soko

Swap-free

Inapatikana

Maswali yanayoulizwa sana

Ukubwa wa juu zaidi wa lot unaopatikana ni lots 20 kwa kila position kuanzia saa 21:00 hadi saa 06:59 GMT+0 katika aina zote za akaunti za Exness, kwa crypto na indices zote, na kwa bidhaa zifuatazo: UKOIL, USOIL, XNGUSD, XAUUSD, XAGUSD., XAGAUD, XAGGBP, XAGEUR, XPDUSD, XPTUSD, XALUSD, XCUUSD, XZNUSD, XPBUSD. XNIUSD huwa lots 10 kwa kila position. Instruments zingine zote, isipokuwa zilizo hapo juu, huwa na ukubwa wa juu zaidi wa lots 60 wakati wa usiku.

Boresha jinsi unafanya biashara

Jionee mwenyewe kwa nini Exness ndiye broker anayefaa zaidi kwa traders zaidi ya 800,000 na washirika 64,000.