Ada za Exness
Zingatia kufanya biashara, sio kulipa ada. Tumeunda mazingira ya biashara ambayo yanahakikishia wateja wetu gharama ya chini kabisa ya kufanya biashara.
Hutatozwa ada za utoaji pesa
Tunalipa ada zako za transaction za wahusika wengine kwa hivyo huhitajiki kulipa.
Akaunti kwa kila aina ya mfanyabiashara
Chagua akaunti ambayo itaongeza mapato yako huku ikipunguza gharama.
Hutahitaji tena kulipa swaps
Tumeondoa ada za swap za instruments zetu nyingi, ikiwa ni pamoja na jozi kuu, stocks, crypto, indices na dhahabu.
Pata maelezo zaidi kuhusu ada na spreads kwa kila instrument
Cryptocurrencies
Biashara ya swap-free ya 24/7 kwenye cryptocurrencies maarufu zaidi ikiwa ni pamoja na Bitcoin, Ethereum, XRP, Cardano, Solana
Hisa
Wekeza katika makampuni ya kimataifa bila ada ya usiku kucha na spreads kutoka pips 0.1
Fahirisi
Weka mtaji kwa kampuni kubwa zaidi katika tasnia ya teknolojia na tasnia zingine
Nishati
Wekeza katika mafuta na gesi asilia zilizo na kiwango cha juu cha leverage cha 1:200
Maswali yanayoulizwa sana
Pata majibu kwa maswali yanayoulizwa sana kuhusu ada za Exness.
Je, unalipia kutumia Exness?
Tunajitahidi kuweka gharama za chini iwezekanavyo kwa wateja wetu, kwa kuondoa gharama nyingi zinazotarajiwa kutekelezwa na brokers wengine. Kama majukwaa yote ya biashara ya mtandaoni, Exness hutoza spread na ada ndogo kwenye instruments zilizoteuliwa.
Je, transactions zote hufanywa bila malipo?
Katika Exness, hatutozi ada yoyote kwa uwekaji au utoaji wowote wa pesa. Watoa huduma wengine wa malipo wanaweza kutoza ada, lakini tunazigharamia pia, kwa hivyo huhitaji kulipa. Kuna hali chache zisizofuata kanuni hii, ikiwa ni pamoja na ada za wachimbaji kwenye malipo ya cryptocurrencies, uwekaji pesa kupitia USDT, na utoaji pesa kupitia Perfect Money na Skrill.
Je, Exness inatoza ada za usimamizi?
Hapana. Hatutozi ada zozote za usimamizi na hakuna malipo ya kufungua akaunti nasi.
Je, uko tayari kuanza?
Inachukua dakika 3 pekee kuweka mipangilio ya akaunti yako na kuwa tayari kufanya biashara
