Unachoweza kutrade kwenye MT5
Katika Exness, unaweza kufurahia kufanya trade ya CFD katika zaidi ya instruments 200, ambazo ni pamoja na kufanya trade ya jozi za sarafu za forex, metali, cryptocurrencies, stocks, indices na nishati.
Forex
Kuna zaidi ya majozi 100 ya sarafu yanayopatikana kwa trade ya CFD kwenye MT5 katika Exness. Tunatoa jozi za sarafu kuu, ikiwa ni pamoja na EURUSD, GBPUSD na USDJPY, na jozi za sarafu ndogo. Pia kuna orodha ndefu ya majozi nadra yanayopatikana kufanyia trade ya CFD.
Metali
Kwenye MT5 ukitumia Exness, unaweza kufanya trade ya CFD kwenye metali kwa njia ya jozi za sarafu, ambazo ni pamoja na XAUUSD, XAUEUR, XAUGBP na XAUAUD kwa dhahabu na XAGUSD, XAGEUR, XAGGBP na XAGAUD kwa fedha. Unaweza pia kufanya biashara kwa platinamu (XPT) na paladiamu (XPD) kwa jozi za sarafu.
Cryptocurrencies
Unaweza kutrade katika sarafu maarufu zaidi za crypto katika jozi za sarafu kwenye MetaTrader 5. Hizi ni pamoja na CFD kwenye Bitcoin, Ethereum, Ripple, Litecoin na Bitcoin Cash, huku Bitcoin ikipatikana katika BTCUSD, BTCKRW, BTCJPY na zaidi.
Stocks, Indices na Nishati
Kwa sasa, traders kwenye MT5 wanaweza kufanya trade ya CFD kwenye zaidi ya stocks 80, ambazo zimeorodheshwa kwenye tovuti yetu, na indices 10, ikijumuisha US30, DE30, HK50, UK100, na AUS200. Katika nishati, tunatoa CFD kwenye UKOIL, USOIL na XNGUSD.