Metali

Fanya biashara ya metali na upanue portfolio yako kwenye dhahabu, fedha na zaidi. Pata spread za chini pamoja na execution ya haraka na unaotegemewa.

Akaunti

Aina ya utekelezaji

Soko

Ishara
Spread wastani
pips
Ada
kwa kila lot/upande
Margin
1:2000
Long swap
pips
Short swap
pips
Stop level*
pips

Saa za kufanya biashara

InstrumentFunguaFunga
XAU, XAG
Jumapili
22:05
Ijumaa
20:59
Mapumziko ya kila siku 20:59-22:01
XPDUSD, XPTUSD
Jumapili
22:10
Ijumaa
20:59
Mapumziko ya kila siku 20:59-22:05
Muda wote uko katika wakati wa seva (GMT+0).

Spreads

Spreads huelea kila wakati. Kwa sababu hii, spreads katika jedwali lililo hapo juu ni wastani kulingana na siku ya biashara iliyotangulia. Kwa spreads za moja kwa moja, tafadhali rejelea jukwaa la biashara.

Spreads zetu za chini kwenye akaunti ya Zero na hubaki kwa pip 0.0 kwa 95% ya siku ya biashara. Instruments hizi zimewekwa alama ya kinyota kwenye jedwali.

Swaps

Swap ni riba ambayo inawekwa kwa trading positions za metali ambayo huachwa wazi usiku kucha. Itawekwa au kuondolewa kwenye akaunti yako ya biashara saa 21:00 GMT+0 kila siku bila kujumuisha wikendi hadi position hio ifungwe.

Swaps hutozwa mara tatu Jumatano ili kufidia gharama zilizotumika wikendi.

Ikiwa wewe ni mkazi wa nchi ya Kiislamu, akaunti zote ni swap-free.

Stop level

Tafadhali kumbuka kuwa thamani za stop level kwenye jedwali lililo hapo juu zinaweza kubadilika na huenda zisipatikane kwa traders wanaotumia mikakati fulani ya biashara ya kiwango cha juu au Expert Advisors.

Masharti ya margin yasiyobadilika

Masharti ya margin kwa jozi za XPT (platinam) na XPD (palladium) daima hayabadiliki kwa kiwango cha leverage cha 1:100.

Masharti ya margin yanayobadilika

Masharti ya margin hufungamanishwa na kiwango cha leverage unachotumia. Kubadilisha kiwango chako cha leverage kutasababisha masharti ya margin kwenye jozi za XAU (dhahabu) na XAG (fedha) kubadilika.

Jinsi spreads zinavyobadilika kulingana na hali, kiwango cha leverage kinachopatikana kwako kinaweza pia kutofautiana. Hii inaweza kutokea kwa sababu kadhaa:

Equity

Leverage ya juu zaidi unayoweza kutumia kwenye akaunti yako hutegemea equity ya akaunti yako:

Equity, USDKiwango cha juu zaidi cha leverage
0 – 9991:Bila kikomo
0 – 4,9991:2000
5,000 – 29,9991:1000
30,000 au zaidi1:500

Habari za kiuchumi

Karibu na wakati wa kutolewa kwa habari muhimu za kiuchumi zenye athari ya juu, positions mpya kwenye jozi za XAU na XAG huzuiliwa hadi kiwango cha leverage cha 1:200. Hii hutumika dakika 15 kabla ya kutolewa kwa taarifa ya habari hadi dakika 5 baadaye.

Unaweza kujua wakati habari kuu za kiuchumi zinastahili kutolewa kwenye Kalenda yetu ya Kiuchumi.

Wikendi na sikukuu

Masharti yale yale ya juu ya margin pia hutumika saa tatu kabla ya soko kufungwa na saa moja baada ya kufunguliwa.

Wakati kuna mabadiliko katika masharti ya margin kutokana na sikukuu, tutakujulisha kupitia barua pepe.

Mapumziko ya kila siku

Positions zote mpya za XAU zilizofunguliwa ndani ya dakika 30 kabla ya mapumziko ya kila siku zitakuwa chini ya masharti ya margin iliyoongezeka huku leverage ikiwa 1:1000.

Pata maelezo zaidi kuhusu mabadiliko ya masharti ya margin katika Maswali Yanayoulizwa Sana hapa chini.

Maswali yanayoulizwa sana

Haya hapa ni maswali yetu yanayoulizwa sana kuhusu kufanya biashara ya metali na Exness.

Kama vile spreads zetu, masharti yetu ya margin ya XAU na XAG pia hubadilika kulingana hali fulani:

  • Wakati wa habari muhimu

  • Wakati wa wikendi na sikukuu

Wakati habari muhimu zinatolewa, kubadilikabadilika ghafla na gaps zinaweza kuwepo. Kutumia kiwango cha juu cha leverage katika soko linalobadilikabadilika ghafla ni hatari kwa sababu mabadiliko ya ghafla yanaweza kusababisha hasara kubwa. Ndiyo maana tunaweka kikomo cha leverage cha 1:200 wakati wa kutolewa kwa habari kwa positions zote mipya za instruments zilizoathiriwa.

Sheria zifuatazo hutumika katika suala la kuweka viwango vya pending orders:

  • Pending orders pamoja na SL na TP (kwa pending orders) sharti yawekwe kwa umbali (angalau sawa na spread ya sasa au zaidi) kutoka kwa bei ya sasa ya soko.

  • SL na TP katika pending orders lazima ziwekwe angalau umbali sawa kutoka kwa bei ya order kama spread ya sasa.

  • Kwa positions wazi, SL na TP lazima ziwekwe kwa umbali kutoka kwa bei ya sasa ya soko ambayo ni angalau sawa na ile ya spread ya sasa.

Katika Exness, tunajua jinsi unahisi wakati pending order yako iko kwenye gap ya bei, kwa hivyo ni haki tunapokuhakikishia kuwa hakuna slippage kwa takriban pending orders zitakazotekelezwa angalau saa 3 baada ya biashara kufunguliwa kwa instrument. Hata hivyo, ikiwa order yako inakidhi mojawapo ya vigezo vifuatavyo, itatekelezwa katika quote ya kwanza ya soko inayofuata gap:

  • Ikiwa pending order itatekelezwa katika hali ya soko ambayo si ya kawaida, kama vile wakati wa ukwasi wa chini cha bei au kubadilikabadilika ghafla kwa hali ya juu.

  • Ikiwa pending order yako iko katika gap lakini tofauti ya pip kati ya quote ya kwanza ya soko (baada ya gap) na bei iliyoombwa ya order ni sawa na au kuzidi idadi fulani ya pips (thamani ya kiwango cha gap) kwa instrument fulani.

Udhibiti wa kiwango cha gap hutumika kwa instruments mahususi za biashara.

Anza kufanya biashara ya metali leo

Inachukua dakika 3 pekee kuweka mipangilio ya akaunti yako na kuwa tayari kufanya biashara