Spreads
Spreads huelea kila wakati, kwa hivyo spreads kwenye jedwali hapo juu ni wastani wa jana. Kwa spreads za moja kwa moja, tafadhali angalia jukwaa lako.
Shirikiana na masoko ya kimataifa ya nishati kwa kufanya biashara ya bidhaa maarufu zaidi duniani.
Akaunti
Aina ya utekelezaji
Ishara | Spread wastani pips | Ada kwa kila lot/upande | Margin | Long swap pips | Short swap pips | Stop level pips |
---|
Instrument | Fungua | Funga |
---|---|---|
USOIL, XNGUSD | Jumapili 23:10 | Ijumaa 21:45 |
Mapumziko ya kila siku 21:45-23:10 | ||
UKOIL | Jumatatu 01:10 | Ijumaa 21:55 |
Mapumziko ya kila siku 21:55-01:10 |
Spreads huelea kila wakati, kwa hivyo spreads kwenye jedwali hapo juu ni wastani wa jana. Kwa spreads za moja kwa moja, tafadhali angalia jukwaa lako.
Masharti ya margin ya nishati daima hayabadiliki, bila kujali kiwango cha leverage unachotumia.
Swap ni riba ambayo hutumika kwa trading positions zote za biashara za nishati ambayo huachwa wazi mara moja. Wakati kiwango cha swap ni hasi, hii inamaanisha kuwa swap hukatwa kutoka kwa position. Hata hivyo, kunapokuwa na takwimu chanya kwa kiwango cha swap, kiasi hicho huwekwa kwenye akaunti. Swaps hukatwa saa 22:00 GMT+0 kila siku, bila kujumuisha wikendi, hadi position itakapofungwa.
Tafadhali kumbuka kuwa wakati wa kufanya biashara ya nishati, swaps hutozwa mara tatu siku ya Ijumaa ili kufidia gharama za ufadhili zilizotumika wikendi.
Hatutozi swaps kwa instruments zilizowekwa kwenye jedwali hapo juu ikiwa una hali ya extended swap-free.
Ikiwa wewe ni mkazi wa nchi ya Kiislamu, akaunti zote ni swap-free.
Masharti ya margin ya nishati daima hayabadiliki, bila kujali kiwango cha leverage unachotumia.
Sheria zifuatazo hutumika katika suala la kuweka viwango vya pending orders:
Pending orders pamoja na SL na TP (kwa pending orders) sharti yawekwe kwa umbali (angalau sawa na spread ya sasa au zaidi) kutoka kwa bei ya sasa ya soko.
SL na TP katika pending orders lazima ziwekwe angalau umbali sawa kutoka kwa bei ya order kama spread ya sasa.
Kwa positions wazi, SL na TP lazima ziwekwe kwa umbali kutoka kwa bei ya sasa ya soko ambayo ni angalau sawa na ile ya spread ya sasa.
Katika Exness, tunajua jinsi unahisi wakati pending order yako iko kwenye gap ya bei, kwa hivyo ni haki tunapokuhakikishia kuwa hakuna slippage kwa takriban pending orders zitakazotekelezwa angalau saa 3 baada ya biashara kufunguliwa kwa instrument. Hata hivyo, ikiwa order yako inakidhi mojawapo ya vigezo vifuatavyo, itatekelezwa katika quote ya kwanza ya soko inayofuata gap:
Ikiwa pending order itatekelezwa katika hali ya soko ambayo si ya kawaida, kama vile wakati wa ukwasi wa chini cha bei au kubadilikabadilika ghafla kwa hali ya juu.
Ikiwa pending order yako iko katika gap lakini tofauti ya pip kati ya quote ya kwanza ya soko (baada ya gap) na bei iliyoombwa ya order ni sawa na au kuzidi idadi fulani ya pips (thamani ya kiwango cha gap) kwa instrument fulani.
Udhibiti wa kiwango cha gap hutumika kwa instruments mahususi za biashara.
Biashara ya swap-free hutolewa kwa USOIL.
Kwa instruments ambazo hazijajumuishwa katika orodha ya extended swap-free, swaps hutozwa ada kila siku isipokuwa wikendi. Kwa maelezo zaidi kuhusu jinsi swaps zinavyokokotolewa, angalia makala yetu ya Kituo cha Usaidizi. Ili kukusaidia kukadiria gharama zako za swap, unaweza kutumia kikokotoo chetu rahisi cha Exness.
Inachukua dakika 3 pekee kuweka mipangilio ya akaunti yako na kuwa tayari kufanya biashara